Papa Pius II
Mandhari

Papa Pius II (kwa Kilatini: Pius PP. II, kwa Kiitalia: Pio II; 18 Oktoba 1405 – 14 Agosti 1464) alikuwa Papa wa Kanisa Katoliki na mtawala wa Dola la Papa kuanzia tarehe 19 Agosti/3 Septemba 1458 hadi kifo chake[1]. Alitokea Corsignano, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Enea Silvio Piccolomini (Kilatini: Aeneas Silvius Bartholomeus).
Alimfuata Papa Kalisti III akafuatwa na Papa Paulo II. [3]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ Piccolomini wrote a biography of Frederick III, Historia rerum Friderici III., imperatoris, , Strasburg: Spoor, 1685 [the first edition].
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |